Wasanii wa Bongo movie @wemasepetu na @auntyezekiel wamemaliza tofauti zao. Wakiongea kupitia kituo cha habari cha EFM, wameeleza sababu ya ugomvi wao ambao ulifikia hadi kila mmoja kumblock mwenzake.
The post Wema Sepetu na Aunt Ezekiel wamaliza tofauti zao, waeleza sababu za Ugomvi wao kila mmoja alimblock mwenzake (+Video) appeared first on Bongo5.com.