Muigizaji huyo ambaye wiki iliyopita amepata dili la tamthilia yake ya Karma kuonyeshwa @dstvtanzania , alisema kwa sasa nguvu yake ameamua kuilekeza kwenye filamu zaidi kwa kuwa ni sehemu anaona anafanya vizuri zaidi.
Wema amesema yeye kwenye siasa alifika kwenye hatua nzuri kwa kupata kura 91 ingawa na yeye wajumbe walimuangusha.
VIDEO:

