Mgombea Ubunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamisi Shabani Taletale ‘Babu Tale’ kupitia CCM amepita bila kupingwa.
Waagombea wa CCM waliopita bila kupingwa ni;
1. Ruangwa, Lindi – Kassim Majaliwa
2. Kilosa, Morogoro – Prof. Palamagamba Kabudi
3. Gairo, Morogoro – Ahmed Shabiby
4. Mvomero, Morogoro – Jonas Van Zeland
5. Morogoro Kusini -Innocent Kalogeris
6. Morogoro Mjini – Abdulazizi Abood
7. Misungwi, Mwanza – Alexander Mnyeti
8. Ushetu, Simiyu – Elias Kwandikwa.
9. Mtama, Lindi – Nape Nnauye.
10. Kwimba, Mwanza – Shanif Mansoor.
11. Vwawa, Songwe – Japhet Hasunga.
12. Morogoro Kusini Mashariki – Hamisi Taletale.
13. Ludewa, Njombe – Joseph Kamonga
14. Kongwa, Dodoma – Job Ndugai
15. Namtumbo, Ruvuma – Vita Kawawa
16. Kavuu, Katavi – Geofrey Mizengo Pinda
17. Chamwino, Dodoma – Deo Ndejembi
18. Kondoa, Dodoma – Dkt Ashantu Kijaji
19. Mpwapwa, Dodoma – George Malima
20. Dodoma Mjini – Anthony Mavunde