Aliyekuwa kada na Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Ubungo ambaye pia aliwania nafasi ya kuteuliwa na chama hicho nafasi ya Ubunge wa jimbo la Kibamba, Mwesigwa Zaidi leo Agosti 22 amehamia chama cha ACT Wazalendo na kuchukua fomu ya kuwani ubunge.

 TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE