Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemtaua Bw. Ng’wilabuzu Ndatwa Ludigija kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, akichukua nafasi ya Bw. Mussa Ramadhan Chogelo aliyepangiwa kazi maalum katika Ofisi ya Rais.

The post UTEUZI: Rais Magufuli amteua Ng’wilabuzu Ndatwa Ludigija kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala appeared first on Bongo5.com.