Tume ya Taifa ya Uchaguzi- NEC imemteua Dkt.John Pombe Magufuli kuwa mgombea wa kiti cha Rais wa Tanzania kupitia CCM na Ndug.Samia Suluhu Hassan kuwa Mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais wa Tanzania.

Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage amewakabidhi  seti za fomu  na nyaraka mbalimbali.