Chama cha Mapinduzi (CCM) kimemteua Waziri wa Afya Ummy Mwalimu kuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Tanga Mjini katika Uchaguzi Mkuu wa October 28,2020