Mgombea Ubunge wa Jimbo la Tanga Mjini Ummy Mwalimu kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) siku ya jana amekabidhiwa fomu kuwania jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu wa 28 Oktoba 2020