Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe amempongeza Muandaaji wa Mashindano ya BSS, Madam Rita kwa kitendo chake cha kuomba radhi kwa kuchelewesha malipo ya Mshindi wa BSS mwaka 2019, Meshaki Fukuta kitendo ambacho kilizua maneno maneno kutokana na mshindi huyo kuripoti kuwa hajalipwa stahiki yake.

The post Ulipoomba radhi umenigusa sana Rita – Waziri Mwakyembe (+Video) appeared first on Bongo5.com.