Tessy alipost picha hiyo na kuandika ‘Kuna mambo mengine bwana sio lazima tutumie nguvu maana tayari yanajieleza mwenye macho haambiwi tazama ndani ya miaka mitano tumejionea sasa tunasema tunataka mitano tena nani mwingine kama sio TingaTinga’- Tessy
Ikumbukwe hapo awali wawili hao waliwahi kuingia kwenye vichwa vya habari kuwa wana ugomvi uliopelekea kutoonekana kuwa na ukaribu kama ambavyo mashabiki walivyozoea