Meneja wa Label ya WCB Wasafi Sallam_Sk ameweka wazi kuwa tayari label hiyo imesaini kichwa kingine ambacho kitatangazwa hivi karibuni.


"Tayari tuna msanii ambaye tumesaini lakini bado hajatangazwa, atatangazwa hivi karibuni kwasababu kwasasa tumemuacha kwanza zuchu, anafanya vizuri kila mahali." Sallam amefunguka kwenye Exclusive Interview na kipindi cha Refresh ndani ya wasafi tv.