Mara baada ya simba kufanya baadhi ya usajili akiwemo, Bernard Morrison, Chris Mugalu, Ibrahim Ame, Joash Onyango. Bongo5 imepata nafasi ya kutembelea mazoezi ya klabu ya Simba na kushuhudia uwezo wa nyota hao.

The post Shuhudia Morrison, Chris Mugalu, Onyango wakionyesha uwezo Bunju MO Simba Arena (+Video) appeared first on Bongo5.com.