Msanii wa muziki na Rais wa label ya African Boy, Jux ametangaza kufanya Show itakayowahusisha Wanawake tupu itakayofanyika Hyatt Regency, 29th August. Mkali huyo wa ngoma ya Sugua, Jux amesema kuwa licha ya wahusika katika show hiyo ni wanawake lakini pia hata walinzi na wahudumu siku hiyo watakuwa ni wakinadada.