Shilole Aomba Radhi Sakata Lake na Snura "ila Ukweli Itabaki Pale Pale"
Msanii wa muziki @officialshilole ameomba radhi kwa wale waliokwazika na kauli yake dhidi ya msanii mwenzake @snuramushi ambayo aliitoa na kuzua gumzo.
Shilole amedai alikuwa anatoa dukuduku lake na alifanya hivyo ila kama kuna mtu amekwazika basi anaomba msamaha.