Msanii wa muziki wa Bongo Fleva @diamondplatnumz akivamiwa na shabiki na kukumbatiwa hadi kuangua chini. @diamondplatnumz anatoa burudani katika Tamasha la Simba day, Leo klabu ya Simba wanacheza na Vitalo kutoka Burudani.