Msanii wa muziki wa Bongo Fleva @diamondplatnumz akivamiwa na shabiki na kukumbatiwa hadi kuangua chini. @diamondplatnumz anatoa burudani katika Tamasha la Simba day, Leo klabu ya Simba wanacheza na Vitalo kutoka Burudani.

The post Shabiki alivyomvamia Diamond na kumkumbatia hadi kudondoka chini (+Video) appeared first on Bongo5.com.