Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Rich mavoko amefunguka kuhusu kuzitumia ngoma alizofanya akiwa bado yupo chini ya Diamond Platnumzkatika lebo ya WCB, Rich ameweka wazi kuhusu kuzitumia nyimbo hizo na kumiliki akaunti mbili za Youtube yaani ile ya Rich Mavoko na Bilionea Kid.
Msikilize Rich Mavoko kwa ufasa.
The post Rich Mavoko afunguka kuruhusiwa kuzitumia nyimbo zake na lebo ya Diamond WCB, hata akaunti ya Youtube ya kwangu (+Video) appeared first on Bongo5.com.