"Watu wanajua ufanyaji wangu wa kazi, naamini sana kitu ambacho nafanya sipendi nikipambe hadi nimwogopeshe mtu watu watainjoi muziki mzuri na 'minitape' hakuna wimbo wowote unaofanana na mwenzake kila wimbo una taste ya kitofauti" .. Ameyasema hayo RICH MAVOKO