Ray Kigosi na Chuchu Hans Hapatoshi..Ray Aandika "Mwanamke Mjinga Huivunja Ndoa Yake Kwa Mikono Yake Mwenyewe" Wadau Wamshukia Ray Kwenye Comments


Soma Baadhi ya Comments wadau walivyomkatalia:

 Zamani wanawake wa jinga ndo wali kuaga na bomoa nyumba zao kwa mikono Yao wenyewe but kwa sasa imeshaa geuka’ wanaume wajinga hu bomoa nyumba zao kwa ku chepuka kwao ‘ volume ina tosha? Na pita tu

 Enyi wanaume ishini na wake zenu kwa akili, (basi aliyeshindwa kuishi na mkewe maana yake hana akili)


 Kaka wew ni mwanaume mkuu mambo ya mipasho waachie wanawake,kama nyumba inawaka moto mwite huyo mjinga tafuta wazee wenye busara wajaribu kuwasuluhisha

 embu toeni hiko kimovie chenu bwana mstusumbue sisi


 Mjinga ni ww ambae huna hata haya mwanamke kakuzalia mtoto mzr bd unamsaliti mbwa ww ambae huna hata kiwanja unaishi kwenu

 maandiko yanasema wanaume ishini na wanawake zenu kwa akili kwahyo yeye kashindwa kuishi na mkewe kwa akili basi hana akili #SautiInatosha