Mhe.Rais Dkt.JohnPombe Magufuli akipokea Sakramenti Takatifu kutoka kwa Baba Paroko Paul Mapalala wakati wa Ibada ya Misa Takatifu ya Dominika ya 20 ya Mwaka A  katika Kanisa Katoliki la Parokia ya Bikira Maria wa Imaculata Chamwino jijini Dodoma leo Jumapili Agosti 16, 2020.

Rais Dkt.John Pombe Magufuli akishiriki katika Ibada ya Misa Takatifu ya Dominika ya 20 ya Mwaka A  katika Kanisa Katoliki la Parokia ya Bikira Maria wa Imaculata Chamwino jijini Dodoma leo Jumapili Agosti 16, 2020.

Rais Dkt.John Pombe Magufuli akiwa na Baba Paroko Paul Mapalala wakisali katika Grotto ya Kanisa Katoliki la Parokia ya Bikira Maria wa Imaculata Chamwino jijini Dodoma leo Jumapili Agosti 16, 2020.

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akishiriki katika Ibada ya Misa Takatifu ya Dominika ya 20 ya Mwaka A katika Kanisa Katoliki la Parokia ya Bikira Maria wa Imaculata Chamwino jijini Dodoma leo Jumapili Agosti 16, 2020.

Mhe.Rais Dkt.John Pombe Magufuli akishirikiana na waumini wenzake kutoa sadaka wakati wa Ibada ya Misa Takatifu ya Dominika ya 20 ya Mwaka A  katika Kanisa Katoliki la Parokia ya Bikira Maria wa Imaculata Chamwino jijini Dodoma leo Jumapili Agosti 16, 2020.