Rais Dkt. John Magufuli leo tarehe 02 Agosti 2020 amepokea hati za utambulisho wa Mabalozi wa wawili.

1.Mhe. Nguyen Nam Tien Balozi Mteule wa Vietnam Nchini Tanzania

2.Mhe. Donald John Wright Balozi Mteule wa Marekani hapa Nchini.

 

 

The post Rais Magufuli apokea hati za utambulisho wa Mabalozi (+Video) appeared first on Bongo5.com.