KUWA Sehemu ya Historia Ligi ya Mabingwa, Bashiri nani akulipe kama bingwa Msimu huu

Msimu wa soka wa kusisimua kwa mwaka 2019/2020 utahitimishwa kwa namna ya kipekee katika mechi ya fainali kati ya mabingwa wa Ufaransa dhidi ya mabingwa wa Ujerumani. Mchezo tunaosubiri kesho majira ya saa 4 usiku kati ya Paris Saint-Germain dhidi ya Bayern Munich! Mchezo utakaochezwa katika dimba la ‘Estadio Da Luz’ jijini Lisbon, Ureno.

Ndio, ni mchezo wa miamba miwili ya soka Barani Ulaya, mchezo ambao mashabiki wa soka wanausubiri kwa shauku kubwa. Timu hizi zimefika hatua ya fainali kwa ushindi wa magoli 3-0 katika yao michezo ya nusu fainali.

Bayern waliwafunga Lyon wakati PSG wakiwatoa RB Leipzig.
Kitu cha kuvutia zaidi usiku wa leo ni kwamba, ushindi kwa Bayern Munich utaifanya iwe ni timu ya kwanza kwenye historia kwa kubeba Ligi ya Mabingwa bila kupoteza mchezo wowote. Kwa upande mwingine, ushindi kwa PSG utaweka rekodi kwa timu hiyo kubeba taji la Ligi ya Mabingwa kwa mara ya kwanza, historia hizi zinaufanya mchezo huu kuwa wa kipekee Zaidi.

Yeyote atakayeshinda ataandika kurasa mpya ya historia. Je, odds zinatuambia nini? Nani mwenye nafasi kubwa?

Wataalamu wa Meridian, kama ilivyo kwa mashabiki wengi wa soka na wabashiri, wababe wa Munich wamepewa faida kidogo. Odds za ushindi kwa Bayern ni 2.11 wakati ushindi kwa PSG umepatiwa odds ya 3.09, kama unadhani matokeo ya sare yana nafasi kubwa, basi odds kwa matokeo ya sare ni 3.82.

Haiwezi kusahaulika kwamba Bayern wapo tayari kwa kila kitu na aibu waliyoipata Barcelona kwa kugaragazwa magoli 8 kwenye hatua ya robo fainali bado ni habari ya mjini. Hivyo basi, kama wewe ni shabiki wa magoli mengi, unaweza kujaribu kwa GG4+

Wataalamu wa Meridian wamekuwekea ofa ya machaguo zaidi ya 1,200 ambayo unaweza kuyaangalia hapa.
Kuwa sehemu ya mchezo huu na ubashiri vile unavyopenda! Kwa odds nzuri, ofa kabambe za michezo na mambo kemkem, Meridian inakusaidia kuwa mshindi!

Jisajili na Meridiabet hapa http://www.meridianbet.co.tz na furaha yako itaanzia hapo. Pakua App ya Meridianbet kwenye simu yako na uanzekubashiri kwa uruhu nyumbani kwako. Pia unaweza kuweka pesa kwenye akaunti yako kupitia KwikPay, M-PESA au Airtel Money. Kumbuka, daima hauwezi kupoteza tiketi yako ya kwanza ukiwa na Meridianbet, tuna Bonasi ya 100% inakusubiri.
Meridian - Nyumba yenye odds bora na bonasi kubwa!