Kutokana na taarifa za kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kubadili baadhi ya maneno kwenye wimbo wa Taifa Humphrey Polepole ameshauri chama hicho kiwaombe radhi wananchi.

“Mimi hiki Chama nimeshindwa kukielewa, nidhamu ni zero, kutii sheria bila shuruti ni zero, kama haikutosha ikaja ya wimbo wa Taifa, bila aibu wanajenga hoja tuambieni wapi tunavunja sheria”

The post Polepole: Chadema wawaombe radhi wananchi kw akubadili maneno ya wimbo wa taifa na kuweka ya Chadema (+Video) appeared first on Bongo5.com.