Muandaaji wa Mashindano ya Bongo Star Search, Madam Rita hii leo Agosti 26, 2020 amemtangaza Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Omary Nyembo Ommy Dimpoz na Christian Bella kuwa majaji wapya katika msimu huu mpya wa 11 wa BSS.

The post Ommy Dimpoz na Christian Bella majaji wapya BSS, ratiba kamili (+Video) appeared first on Bongo5.com.