“Ni lazima wanafunzi wale wali na kuku..!! Hicho ni kipaumbele changu..!!”Mh HASHIM RUNGWE ; Mgombea Urais kupitia Chama Cha Chauma.
Ukimpatia mwanafunzi chakula maanayake akili itainuka..!! Tunataka watoto wenye afya nzuri..!!”Mh HASHIM RUNGWE ; Mgombea Urais kupitia Chama Cha Chauma.
“Napiga mikutano yangu sehemu za wazi kama sokoni na barabarani kwasababu maisha ni magumu na kuwatoa watu kwenye shughuli zao za kujitaftia riziki sio vizuri..!! Mimi nawafaya palepale kwenye shughuli zao na napiga sera zangu palepale..!!”Mh HASHIM RUNGWE ; Mgombea Urais kupitia Chama Cha Chauma.
"Hata wanafunzi wa kutwa watakuwa wanakula wali kuku, mbona watu wazima mkienda kwenye semina mnakunywa chai na chakula cha mchana? ~ Hashimu Rungwe Mgombea Urais kupitia Chama Cha CHAUMA.
"Mtoto hawezi kujua umuhimu wa elimu bure kama hapati chakula shuleni"- Hashimu Rungwe Mgombea Urais kupitia Chama Cha CHAUMA.
Hata ofisini kwangu mimi huwa nawapatia Ubwabwa mchana watu wanaofanya kazi karibu na pale..!! Na ukiangalia bei ya ubwabwa ni sh. 2000 tu..!! Sasa kwanini nisiwape ubwabwa?

