NEC imemteua John Shibuda kuwa mgombea wa Urais wa Tanzania na Hassan Kijogoo kuwa mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais wa chama cha ADA-TADEA.

Zoezi hilo limefanywa na Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwenye ofisi za NEC Dodoma