“Nchi hii inatambulishwa kwa vitu vitatu… kwanza jina lake…mbili ni bendera yake…cha tatu…ni wimbo wetu wa taifa…wenzetu wamebadilisha wimbo wetu wa taifa wameweka maneno yao…mbona sisi tuna nyimbo zetu…hatujawahi kuugusa huu wimbo.
The post Nchi hii inatambulishwa kwa vitu vitatu, jina lake bendera yake tatu wimbo wa taifa, wenzetu wambadili wimbo wetu na kuweka maneno yao (+Video) appeared first on Bongo5.com.
