MREMBO mwenye Bongo Fleva yake, Faustina Charles ‘Nandy’ amesema kuwa yeye na mchumba wake William Lyimo ‘Billnass’ wana baraka zote za wazazi, hivyo watu waache kuongea sana.

Nandy amesema kuwa, baadhi ya watu wamekuwa wakiongea sana kuhusu uchumba wake na Billnass, ila wanatakiwa kuelewa tu kwamba wao wamepewa baraka zote na wazazi wao.

“Sijui kwa nini watu wanaongea sana kuhusu mchumba wangu, tena wanaongea vitu vingi wasivyokuwa na uhakika navyo, itoshe sasa nataka wajue tu kwamba, sisi tayari tuna baraka zote.

 STORI | Memorise Richard, Risasi