MGOMBEA Ubunge Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso akiwa amebeba fomu za kuwania Ubunge Jimbo hilo akiwa njiani kuzirudisha ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi kwenye Jimbo hilo mapema leo |
MGOMBEA Ubunge Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso ambaye pia ni naibu Waziri wa Maji katika akiwa na kada wa CCM Victoria Mwanziva kushoto na kulia ni Afisa wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Tanga Gipson George mara baada ya kurejesha
MGOMBEA Ubunge Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso ambaye pia ni Naibu Waziri wa Maji akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kurejesha fomu za kuwania Ubunge Jimbo la Pangani