Katika tukio la uzinduzi wa Minitape ya @richmavoko yenye ngoma nane limeweza kufunguliwa Kwa style ya aina yake kwa madensa wake kuingia na ngoma ya Kihindi.
Baada ya hapo watangazaji wa Clouds Fm @mwijaku na @soudybrown waliweza kuongea na @mwijaku kutupa dongo gizani akisema muziki wa Mavoko ULITEKWA na Maharamia na sasa umerudishwa.
The post Mwijaku na Soudy Brown watupa dongo, muziki wa Mavoko ulitekwa na maharamia sasa tumeurudisha (+Video) appeared first on Bongo5.com.

