Watangazaji wa Clouds Media @mwijaku na @soudybrown wamefunguka kuhusu maneno yanatosikika kuwa Clouds Media kupoteza muelekeo kisa kuwa tofauti na baadhi ya wasanii na ndio mana wanaanza kumaliza tofauti zao.

Mbali na hilo MWIJAKU NA SOUDY BROWN wamezungumzia kuhusu kile alichopost @officialbabalevo kuhusu Show ya @officialalikiba maana Soudy Brown ndio alimshauri @officialbabalevo afute alipost kuwa @officialalikiba ataenda kueibika KIGOMA kwenye show yake kwani ameifanya katikati ya mwezi watu hawana hela badala yake angesogeza mbele hadi mwisho wa mwezi.

The post Mwijaku na Soudy Brown Clouds media kupoteza muelekeo kisa tofauti na baadhi ya wasanii mfano Diamond (+Video) appeared first on Bongo5.com.