Msanii wa muziki Mwana FA hapo jana alipata nafasi ya kupanda ulingoni akiwa anamsindikiza Hassan Mwakinyo katika pambano lake la Ubingwa wa WBF dhidi ya Mcongo, Tshibangu. Katika pambano hilo Mwakinyo alifanikiwa kutwaa Mkanda huo kwa ushindi wa pointi.

The post Mwana FA alivyomsindikiza Hassan Mwakinyo Ulingoni (+Video) appeared first on Bongo5.com.