Mwanamke mmoja Kenya aliwaacha wengi waiwa wamepigwa na butwaa baada ya kufichua kuwa mume wake hajakuwa mwaminifu kwake hii ni baada ya kugundua kuwa amekuwa akilala na kahaba.

Aligundua hayo baada ya kupitia jumbe za mumewe na mwanamke huyo mwaka jana Desemba.

“Nilipitia jumbe za mume wangu na nilishtuka sana huwa wanapatana mara tatu kwa wiki ili wafanye ngono wamekuwa wakifanya hivyo kwa muda sasa na wala sijamkasirikia kwa maana jumbe zao zote ni kuhusu ngono

Ni biashara huwa wanafanya ngono na kisha anamlipa, mimi na mume wangu tuna mambo mengi ya kufanya na hata huwa tunafanya ngono na kunipa pesa

Pia huwa anashughulikia watoto wetu,je nipuuze na niache amani izidi kuwa katika familia yangu?”Aliandika Mwanamke huyo.

Ufichuzi wake uliibua hisia tofauti kwenye mitandao na hizi hapa baadhi ya hisia zao;

eiish_17 Let peace reign, madam . It is well 🔥

patienceatieno8 Prostitute and he doesn’t use protection? wololo

greysbygbemi I really would never understand why women have naively normalized cheating. Like she sounds so calm.

annet2090 You are more worried emotions than your health

chioma_polycarp Ignore but always tell him to use protection on you I guess by then he would understand that you already found out

ekaette_secrets Infection is LOOMING!!!

Wankimu_muthoni Madam STDs is knocking on your door

ojims_official He’s cheating, cheating is cheating!!!

miss__oyin Since you aren’t angry 🤔 we can’t be angry on your behalf 🥴 just keep your home

deszy_jet Or maybe you just don’t have as much affection for your husband again

perfumeology101 This Woman is strong!

est_didi That still doesn’t change the fact that he’s cheating and might not stop anytime soon