Hivi ndivyo msemaji wa klabu ya @simbasctanzania @hajismanara alivyomtqmbulisha Benard Morrison leo siku ya Simba. Morrison atoa kauli “Simba ni chuo cha mpira Tanzania, naipenda sana Simba “

 

 

The post Morrison: Simba ni chuo cha mpira Tanzania naipenda sana (+Video) appeared first on Bongo5.com.