Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga SC, Wakili Patrick Simon akimkabidhi jezi namba 19 mshambuliaji mpya Mghana, Michael Sarpong baada ya kusaini mkataba wa miaka  miwili kutoka Rayon Sports ya Rwanda,Jezi hiyo imeshawahi kuvaliwa na Herieth Makambo.