Mwanajeshi wa Jeshi la Wananchi Tanzania, Ismail Aizak Gari ya tano ambaye ni Bondia hapo jana ameonyesha mchezo mzuri uliyopelekea kupata ushindi kwenye pambano lake la ufunguzi hapo jana lililopigwa Mlimani City.

 

The post Mfahamu Mwanajeshi aliyeshusha kipigo kizito Ulingoni, aibuka na ushindi mnono (+Video)  appeared first on Bongo5.com.