Lionel Messi ameomba kuondoka ndani ya Barcelona haraka iwezekanavyo taarifa hizo ni kwa mujibu wa mwandishi wa habari, Marcelo Bechler ambaye ndiye aliyekuwa mtu wa kwanza kabisa kuanzisha stori za kuuzwa kwa Neymar kwenda PSG miaka mitatu iliyopita. Barcelona waliishangaza dunia kwa kupokea kipigo kisichoelezeka cha magoli 8 – 1 mbele ya Bayern Munich kwenye michuano ya Champions League wiki hii.

The post Messi kuondoka Barcelona, Je kipigo cha Bayern kinahusika ? (+Video) appeared first on Bongo5.com.