Mgombea Urais wa chama cha ACT-Wazalendo Bernard Membe amesema wao wamepata wadhamini katika mikoa kumi

Amesema ACT-Wazalendo waliamua kutafuta wadhamini kimya kimya ili kuepuka kuteleza

Majina wa wateule wa kugombea Urais yanatarajia kutolewa na Tume ya Uchaguzi (NEC), Agosti 25, na kampeni zitaanza Agosti 26