Mwimbaji wa nyimbo za Injili Emmanuel Mbasha amezungumza baada ya kupigwa mtama na Mtangazaji Adam Mchomvu ambapo amesema haoni kosa alilomfanyia Mchomvu mpaka ampige mbele za Watu na amejisikia vibaya sana lakini amemsamehee na amemuachia Mungu