Wasanii wa muziki wa Bongo Fleva @fidq_words na @aytanzania walikuwa miongoni mwa watu waliojitokeza kwenye tukio la @richmavoko na walipopata nafasi ya kuongea walimshauri Mavoko maneno haya.

Mbali na @aytanzania na @fidq_words kupata nafasi ya kuongea pia @petitman_wakuache alipata wasaa wa kuuliza swali na ilikuwa hivi.

The post Maneno ya AY na Fid Q kwa Mavoko, Hatukuwahi kuwa na wasiwasi juu yake tuliamini atarudi tu na atafanya vizuri (+Video) appeared first on Bongo5.com.