Klabu ya Manchester United imekubali kipigo cha jumla ya magoli 2 – 1 dhidi ya Sevilla hatua ya nusu fainali ya michuano ya Europa Leagu. Katika mchezo huo mabao yalifungwa na Bruno Fernandez wajati kwa upande wa Sevilla yakiwekwa kimyani na Suso dakika ya 26 na Luuk de Jong 78′
The post Manchester yachezea kipigo dhidi ya Sevilla, fahamu mapungufu ya United (+Video) appeared first on Bongo5.com.
