Ujumbe wa Haji Manara kuhusu tetesi zinazoendelea kuwa Mchezaji wa Simba Chama amejiunga na Yanga, Manara ameandika kuwa:- “Tetesi za @realclatouschama kwenda Kucheza Utopolo msimu unaokuja ni UPUMBAV, Chama ana mkataba na Machampioni wa nchi hii hadi July 2021, Simba haiwezi kumuuza au kumuachia mchezaji ambae tuna malengo nae, waacheni Mazuzu fc waendelee kujidanganya, najua viongozi wao wanataka kuwaongopea watu wao ili kutoa droo na issue ya Morrison, Chama wao ni yule aliyeenda jana.”

The post MANARA: Simba haiwezi kumuacha Chama tuna malengo naye na bado ana mkataba hadi 2021, Yanga wasiwaongopee watu appeared first on Bongo5.com.