Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda atakabidhi rasmi ofisi hii leo Agosti 3, 2020, kwa Mkuu wa Mkoa huo wa sasa Aboubakar Kunenge.

Kupitia ukurasa wake wa instagram Makonda ameandika ujumbe huu:-

“Kesho saa NNE asbh safari yangu ya Ukuu wa Mkoa inahitimishwa na tukio la Kukabidhi ofc. Hakika Mungu amejitawalia utukifu wake kwa kazi isiyokuwa na Mikono milegevu. Kesho nitawaaga RASMI WANA DSM”

https://bit.ly/31bvGZ0

The post Makonda kukabidhi ofisi leo, Nawaaga rasmi Wana DSM nimehitimisha safari yangu ya ukuu wa mkoa appeared first on Bongo5.com.