Madson property limited inakuletea mkopo nafuu kabisa wa viwanja na mashamba usio kuwa na riba wala dhamana yoyote ile.

Viwanja vyetu vipo maeneo yafuatayo;

-Goba Rastanza bei 45,000 kwa Sqm

-Mbweni bei 45,000 kwa Sqm

-Madale flamingo bei 40,000 kwa Sqm

-Madale mivumoni bei 33,000 kwa sqm

-Mbezi Luguruni bei 35,000 kwa Sqm

-Bunju bei 20,000 kwa Sqm

-Kigamboni (Gezaulole block 17 & C ) bei 18,000 kwa Sqm

-Kigamboni (mwongozo malimbika) bei 12,000 kwa Sqm

- Vigwaza (Mashamba) bei 2,000,000 kwa Hekari moja

NB: Viwanja vyetu vyote vimepimwa na vina hati kabisa aidha mteja atakabidhiwa hati miliki ya kiwanja husika mara tu baada ya kukamilisha malipo husika kwa 100%

Ofisi zetu zipo jengo la MWENGE TOWER ghorofa ya tano tupo opposite/mkabala na Mlimani city.
Tupigie kwa namba zifuatazo
- Tigo 0677307772
-Airtel 0684548120
-Voda 0742864774