LIGI ya Mabingwa imerejea kwa kishindo na michezo ya robo fainali imemalizika kwa namna ya kushangaza kuliko tulivyotarajia kwenye mpira wa miguu. 

Juve na Real Madrid kati ya wengi, wamemaliza msimu wa Ligi ya Mabingwa msimu huu. Tumeshuhudia matokeo ya kushtua kwenye mchezo wa Atalanta dhidi ya PSG wakati ambapo PSG walibadilisha matokeo mwishoni kabisa mwa mchezo ndani ya dakika 3 na kufuzu kwenda nusu fainali!

Mechi ya mwisho ya robo fainali ni mechi kati ya Manchester City na Lyon, timu ambazo ziliwatoa "Kibibi Kizee cha Turin" na " Klabu ya Ufalme"
Mechi kati ya Manchester City na Lyon itachezwa saa 4 usiku katika dimba la "Jose Alvalade" jijini Lisbon. Kutokana na mlipuko wa virusi vya Corona, mchezo huu utachezwa bila marudio.

Je, "City" wataweza kudhihirisha ubabe wao katika mchezo huu?
Kutokana na ushindi wa jumla wa 4-2 dhidi ya Real Madrid, Manchester City wanapewa nafasi kubwa ya kushinda dhidi ya Olympique Lyonnais.
Japokuwa, Lyon hapaswi kupuuziwa.

Lyon walikuwa wanajilinda dhidi ya Juve mda mwingi katika mchezo wao wa marudiano, lakini inaonekana Rudy Garcia hatotumia huo mfumo dhidi ya City.

Swali ni - Je, Lyon wapotayari na wataweza kuweka historia kwenye Ligi ya  Mabingwa?
Takwimu zinasema : Nafasi ya City kushinda ni 75% wakati nafasi ya Lyon kushinda ni 8% tu. Nafasi ya matokeo kuwa sare mpaka dakika ya 90 ni 17%.

Pia, Odds za mechi hii zinavutia - Meridiabet wanauthamini ushindi wa Lyon kwa odds ya 11! Ambayo kimsingi utakiri ni ninamba inayovutia. Upande wa pili, ushindi kwa "City" umepatiwa odd ya 1.27, wakati sare ni 6.20.

Wataalamu wa Meridian wamekuwekea ofa ya machaguo zaidi ya 1,200 ambayo unawezakuyaangalia hapa.

Kuwa sehemu ya mchezo huu na ubashiri vile unavyopenda! Kwa odds nzuri, ofa kabambe za michezo na mambo kemkem, Meridian inakusaidia kuwa mshindi! 

Jisajili na meridianbet hapa www.meridianbet.co.tz na furaha yako itaanzia hapo. Pakua App ya Meridianbet kwenye simu yako na uanze kubashiri kwa uhuru nyumbani kwako. Pia unaweza kuwekapesa kwenye akaunti yako kupitia KwikPay, M-PESA au Airtel Money. Kumbuka, daima hauwezi kupoteza tiketi yako ya kwanza ukiwa na Meridianbet, tuna Bonasi ya 100% inakusubiri.
Meridian - Nyumba yenye odds bora na bonasi kubwa!.