Msanii mpya wa muziki, Juma Sharobaro amefunguka kuhusu kushiriki katika tamasha la BSS, akizungumza na Bongofive msanii huyo chipukizi amegusia aina ya mwanamke ambaye angependa kumuoa siku moja muda ukifika wa kufanya hivyo.

The post Kwa sasa nipo msela, nina umru kama sura yangu – Juma Sharobaro (+Video) appeared first on Bongo5.com.