Wajasiriamali wakiwa katika mitaa mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam leo tarehe 27 Agosti, 2020 wakiwa katika shughuli zao za kuwaingizia kipato kwa kuuza bidhaa mbalimbali kama wanavyooneka pichani.
Mjasiriamali akiwa kazini jijini Dar es Salaam leo tarehe 27 Agosti, 2020.(Picha zote na Emmanuel Massaka,Michuzi Tv)