Baada ya tukio la msanii wa muziki kutoka Konde Gang kutua uwanja wa Mkapa kwa staili ya aina yake akitumia kamba na kukatisha katikati ya uwanja kitu ambacho kiliwafanya maelfu ya mashabiki kumshangalia.

Mbali na hilo Muimbaji huyo alitua uwanjani hapo akiwa na watu zaidi 100 , dansa, walinzi pamoja na watu wa sarakasi.

Mapema leo amepost video ikimuonyesha akipita juu ya uwanja na kamba na kuandika ujumbe uliosomeka kwamba:-

View this post on Instagram

PLEASE DON'T TRY THIS AT HOME

A post shared by KONDEBOY (@harmonize_tz) on

The post Kauli ya Harmonize baada ya tukio la uwanja wa Mkapa siku ya mwananchi appeared first on Bongo5.com.