Mwigizaji Chadwick Boseman ambae ameng’aa sana kwenye movie kama Black Panther na 21 Bridges amefariki dunia akiwa na miaka 43 ambapo kansa imetajwa kuwa chanzo.
Chadwick ambaye amekua akiugua kansa toka mwaka 2016 amefia nyumbani kwake akiwa na Mke wake pembeni pamoja na familia
The post Kansa ilivyoondoa maisha ya mkali wa black Panther Chadwick Boseman appeared first on Bongo5.com.