Kamati Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo imemteua Seleman Said Bungara maarufu kwa jina la BWEGE kutetea kiti chake cha Ubunge wa Jimbo la Kilwa Kusini Mkoani Lindi katika Uchaguzi Mkuu wa October 28, 2020, Bwege alikuwa Mbunge wa Jimbo hilo kupitia CUF (2015-2020) kabla ya kuhamia ACT.